Book cover

Asante Mungu kwa Nabii

Muziki toka Jarida la Rafiki


1. Asante Mungu kwa nabii, Kutuongoza hizi siku. Asante kuleta injili, Iongezayo ufahamu. Asante kwa kila baraka, Pia kwa ukarimu wako. Twapenda kukutumikia Na kuzitii amri zako.