1. Nitatii injili, Kujua ni ya ukweli, Nijue mpango wa Kristo Atakavyo nitaishi.
Nitajaribu kwa vyovyote Kuitii kila siku. Nitajaribu kwa vyovyote Kuitii kila siku.
2. Nitatii injili Kujua nitafurahi, Kujua sala asikia Kwa sababu ninatii.
Nitajaribu kwa vyovyote Kuitii kila siku. Nitajaribu kwa vyovyote Kuitii kila siku.