Book cover

Eleza Ngano za Yesu Nazipenda

Muziki toka Jarida la Rafiki


1. Eleza ngano za Yesu Nazipenda, Mambo angenifundisha angekuwa. Ya matukio, yake yote, Ngano za Yesu, Nazipenda.

2. Watoto walivyokaa kwa karibu; Nitadhania baraka zake kwangu; Matendo yake ya rehema, Ni kwa upendo wake Bwana.

3. Nihadithie na ile miujiza, Mawimbi ya baharini Galilaya! Na jinsi Bwana, Mkamili, Alikemea na tufani.