1. Yesu kaja kwa Yohana Apate kubatizwa Kwa kuzamishwa mtoni, Kule nchini Yuda.
2. “Kuitimiza sheria,” Yesu alimjibu, “Na kuingia kwa Baba Kwenye ufalme juu.”
3. Sasa tunajua pia Yatupasa kutii, Tubatizwe kwa imani, Kama Kristo Mwokozi.