1. Kila Ninapoomba, Wanisikia, Na nahisi upendowe. Tunayo ya kusema. Wangu msaidizi, Kwenye mahitaji.
Wajaza nuru mwangu moyoni. Unanijua, wanifariji. Imani nawa nayo. Kwa neno lako. Upo karibu, wajibu sala. Nina amani, na ninahisi Naweza mambo yote Kwa neno lako.
2. Najua siko mwenyewe. Upo na mimi Neno laniponya. Sitakuacha kamwe, Nikipatwa na shaka, Unaniongoza.
Wajaza nuru mwangu moyoni. Unanijua, wanifariji. Imani nawa nayo. Kwa neno lako. Upo karibu, wajibu sala. Nina amani, na ninahisi Naweza mambo yote Kwa neno lako. Kwa neno lako. Kwa neno lako.
Wajaza nuru mwangu moyoni. Unanijua, wanifariji Imani nawa nayo. Kwa neno lako.