Book cover

Kuna kazi Kubwa

Muziki toka Jarida la Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana

1. Kuna kazi kubwa Umeandaliwa Kabla ya ulimwengu. Nguvu wahitaji Kuvuka mawimbi Ambayo yatakusibu. Ni kinga kwenye dhoruba. Na kamwe hatakuacha.

Ni kazi ku bwa katupatia. Sehemu ya wake mpango. Na usichoke. Hatakuacha. Atakulinda milele Kwenye kazi. Ni kazi. Ni kazi kubwa.

2. Moyo ukimpa, Atakuonesha Ndoto na matumaini. Na ukimkiri Itaanza kazi Na pendo la kweli.

Ni kazi ku bwa katupatia. Sehemu ya wake mpango. Na usichoke. Hatakuacha. Atakulinda milele Kwenye kazi. Ni kazi. Ni kazi kubwa.

Ni utukufu wake, Na anakuhitaji Ili akusaidie.

Ni kazi ku bwa katupatia. Sehemu ya wake mpango. Na usichoke. Hatakuacha. Atakulinda milele Kwenye kazi. Ni kazi. Ni kazi kubwa. Kwenye kazi. Ni kazi. Ni kazi kubwa.