1. Mungu Baba twaomba; Tutumie neema. Tukila sakramenti, Twalindwa na Mwokozi.
2. Tupe neema yako Na tabasamu lako. Na mkate tukila, Thibitisho twaomba.
3. Na tukiyanywa maji, Roho awepo nasi. Tusamehe, Ee Bwana, Bariki tuwe wema.