Book cover

Nybgy Awe Nawe

Nyimbo Za Dini Pamoja Na Nyimbo Za Watot, 38

1. Mungu awe nanyi daima, Kwa nasaha muongozwe, Mbaki zizini mwake. Mungu awe nanyi daima.

Hadi tuonane tena, Miguuni pa Bwana. Hadi tuonane tena. Mungu awe nanyi daima.

2. Mungu awe nanyi daima; Shida zinapowazonga, Awaoneshe huruma. Mungu awe nanyi daima.

Hadi tuonane tena, Miguuni pa Bwana. Hadi tuonane tena. Mungu awe nanyi daima.

3. Mungu awe nanyi daima; Nguvu ya upendo wake, Imeshinda mambo yote. Mungu awe nanyi daima.

Hadi tuonane tena, Miguuni pa Bwana. Hadi tuonane tena. Mungu awe nanyi daima.