Book cover

Amefufuka

Nyimbo Za Dini Pamoja Na Nyimbo Za Watot, 54


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Kafufuka! Kafufuka!Itangaze kwa shangwe.Kifungo chake kavunja;Watu wafurahie.Kifo kina ukomo,Ushindi ni wa Kristo.

2. Njoo na utakatifu;Sifu ushindi wake.Hakuna kiza cha winguKuzuia miale,Siku njema yaanza,Ishara ya Pasaka.

3. Kafufuka! Kafufuka!Amefungua mbingu.Dhambi haitatufunga,Tuna utakatifu.Na nuru ya PasakaMachoni itang’aa.