1. Nifundishe mwenendo wa nuru; Nifundishe kuomba kwa Mungu; Nifundishe nijue mazuri; Nifundishe kwenda nuruni.
2. Njoo mwana tujifunze wote Kuzishika amri zake zote, Ili turudi kwake nyumbani— Siku zote tuwe nuruni.
3. Baba yetu twashukuru leo Kwa mwongozo wako wa upendo. Twakutukuza kwa nyimbo nzuri. Ndiyo, ndiyo twaja nuruni!