Book cover

Familia Zinaweza Kuwa Pamoja Milele

Muziki kutoka kwenye Liahona (2013–2020)

1. Mie nina familia duniani. Njema sana kwangu mie. Mie nataka kushiriki maisha milele.

Familia kuwa pamoja milele Kwa mpango wa Baba wa Mbinguni Daima nataka kuwa na familia yangu, Bwa na amenionyesha mie jinsi. Bwa na amenionyesha mie jinsi.

2. Nikiwa katika ujana yangu, Nitajiaanda makini, Ili nioe hekaluni pa Mungu kwa milele.

Familia kuwa pamoja milele Kwa mpango wa Baba wa Mbinguni Daima nataka kuwa na familia yangu, Bwa na amenionyesha mie jinsi. Bwa na amenionyesha mie jinsi.