Auto-scroll is most reliable with MIDI (computer-generated) audio.
Practice
Loading…
Kuna kazi Kubwa
1. Kuna kazi kubwaUmeandaliwaKabla ya ulimwengu.Nguvu wahitajiKuvuka mawimbiAmbayo yatakusibu.Ni kinga kwenye dhoruba.Na kamwe hatakuacha.
Ni kazi ku bwa katupatia.Sehemu ya wake mpango.Na usichoke.Hatakuacha.Atakulinda mileleKwenye kazi. Ni kazi.Ni kazi kubwa.
2. Moyo ukimpa,AtakuoneshaNdoto na matumaini.Na ukimkiriItaanza kazi Na pendo la kweli.
Ni kazi ku bwa katupatia.Sehemu ya wake mpango.Na usichoke.Hatakuacha.Atakulinda mileleKwenye kazi. Ni kazi.Ni kazi kubwa.
Ni utukufu wake,Na anakuhitajiIli akusaidie.
Ni kazi ku bwa katupatia.Sehemu ya wake mpango.Na usichoke.Hatakuacha.Atakulinda mileleKwenye kazi. Ni kazi.Ni kazi kubwa.Kwenye kazi.Ni kazi.Ni kazi kubwa.