1. Ndiye amani Mwokozi wetu. Hisi upendo wake Kutunusuru. Maneno yake. Yawe uhai. Kama tutatambua, Ndiye amani.
Anatupa Pumziko. Nguvu yetu Tuzidiwapo. Hifadhi yetu Penye hatari. Penye hofu kuu, Ndiye amani.
2. Ndiye amani Njiani kwetu Galilaya,na pia Yerusalemu. Ponya mioyo Futa Machozi. Tuishi kama yeye. Ndiye amani.
Anatupa Pumziko. Nguvu yetu Tuzidiwapo. Hifadhi yetu Penye hatari. Penye hofu kuu, Ndiye amani, Penye hofu kuu, Ndiye amani.