January 2026
Ninapobatizwa
Ninapobatizwa
1. Natazama upinde mvua inyeshapoNa ninatafakari ardhi isafishwavyo.
Maisha yangu na yawe safi kama ardhi.Niwe mwema na kwa Mungu tena nikaishi.
2. Namfuata Yesu ninapobatizwaNa ninaporudi kwake ninasamehewa.
Maisha yangu na yawe safi kama ardhi.Niwe mwema na kwa Mungu tena nikaishi.
Maandishi: Nita Dale Milner, 1987; tafsiri ya Kiswahili 2025
Muziki: Nita Dale Milner, 1987
Tafsiri ya Kiswahili © 2025 IRI; muziki © 1989 IRI
Ya kwa Sauti na Guitar