Book cover

Baba Anaishi

Nyimbo Za Dini Pamoja Na Nyimbo Za Watot, 55


1. Baba anaishi, na ananipenda. Huu ni ukweli Roho huninong’oneza. Huninong’oneza.

2. Kukuza imani, kanileta hapa. Roho huninong’oneza kwamba ninaweza, Kwamba ninaweza.