Page 55
Baba Anaishi
Baba Anaishi
1. Baba anaishi, na ananipenda.
Huu ni ukweli Roho huninong’oneza.
Huninong’oneza.
2. Kukuza imani, kanileta hapa.
Roho huninong’oneza kwamba ninaweza,
Kwamba ninaweza.
Maandishi na muziki: Reid N. Nibley, 1923–2008. © 1969 IRI