Book cover

Niongoze Nije Kwako

Nyimbo za Dini, 4


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Niongoze nije kwako Kwa wito wa injili. Nipe nguvu zako, Mungu, Nitimize ahadi.

2. Baba, ninajitolea, Nitakutumikia. Bado ningali mnyonge, Nipe wako mwangaza.

3. Niombapo nisikie. Nipe nguvu daima. Niwe na imani kwako; Unibariki Baba.