Book cover

Neno Huleta Amani

Nyimbo za Dini, 10


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Neno huleta amaniKwao washirika.Na mwangaza wa injiliWatuelekeza.

2. Maagizo ni ya MunguAnayetujali.Upendowe mng’aavuKwao wafuasi.

3. Uongo humong’onyoka,Nazo mila ovu.Wingu lililotishia,Lakiri u Mungu.

4. Heri tujualo Jina,Tuziache dhambi.Roho ataendeleaKutuweka safi.

5. Punde shetani ashindwaNa kuisha dhambi,Shida hazitasumbua,Wala kutuudhi.

6. Tulivyovipata nusuVitakamilika,Kwani Bwana Mungu wetuAtavirejesha.

7. Kwa subira twaziponyaNafsi hadi aje.Tuzidi kutumikia,Ukombozi uje.