1. Nabii mpendwa, twamuombaAkupe faraja, Mungu Baba.Miaka ijavyo na uzee,Na mwangaza wako uangaze,Na mwangaza wako uangaze.
2. Tunakuombea mioyoni,Ukapewe nguvu na MwokoziYa kutuongoza kila siku,Ya kuiangaza njia yetu,Ya kuiangaza njia yetu.
3. Tunakuombea, twakupenda,Na maombi yetu yasikika.Ubarikiwe na Mungu wetu,Na akupatie kila kitu,Na akupatie kila kitu.