1. Mlinzi ni Mungu wetu, Mnara madhubuti. Auni ni Mungu wetu, Hushinda pingamizi. Uwezo anao, Kushinda Anguko. Nguvu kuu ndiye, Muumba wa vyote. Milele atatawala!