Number 40
Mungu Yu Nanyi Wapendwa
Mungu Yu Nanyi Wapendwa
1. Mungu yu nanyi wapendwa,Kutwa akiwalinda.Apenda kuwabariki,Mtapotenda mema.Abariki, abariki,Kama mtaamini.
2. Nao malaika juuWaona kazi zenu,Na wanaandika yoteMema, hata maovu.Penda wema! Penda wema!Mungu akubariki.
3. Mungu anatufundishaKwa sauti ya Roho.Sikiliza ushawishi,Uwe furaha yako.Aminika, aminikaKwa Mungu na Sayuni.
Maandishi: Charles L. Walker, 1832–1904
Muziki: John Menzies Macfarlane, 1833–1892