1. Twashukuru MunguKwa moyo na sauti,Miujiza yakeWanyonge tunakiri;Tangu tu wachangaAmetuongoza,Na baraka zakeBado anatupa.
2. Ewe Mungu wetu,Kuwa nasi daimaTuwe na amani,Tuwe nayo furaha,Utupe upendoNa utuongoze.Tuepushe dhambi,Kwa nguvu tulinde.