Book cover

Bwana Wetu, Upendo Wake Wang’ara

Nyimbo za Dini, 56


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Bwana wetu, Upendo wake wang’ara Kama nuru na miale yake. Hushawishi, Turudi tena kwa Baba, Kushiriki Utukufu wake.

2. Roho mwema, Hunong’oneza moyoni Yale mema, Kumzidi pepo. Isikike Sauti ya tumaini, Itufunge Kwake kwa upendo.

3. Baba, Mungu, Sikia yetu maombi, Ni ajabu Dhabihu ya Mwana. Asifiwe. Amri zako tutatii. Ee Mfalme, Twakufurahia.