1. Sinashaka, sitahofu, Nipo karibu na Mungu. Roho wake anatupa Nguvu na amani pia. Ninampa kwa hiari Sala zangu na imani. Ametuahidi Roho Imani itakuwepo.