Book cover

Iwapi Amani?

Nyimbo za Dini, 62


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Iwapi amani? Si mtulivu. Mwingine hawezi kuniponya. Nichomwapo moyo, niwapo mwovu, Najitenga kando Kuchunguza?

2. Niwapo na dhiki, Pindi mchovu, Ninapohitaji kimbilio, Yupo wa kuponya yale machungu. Nani muelewa? Yeye Kristo.

3. Anijibu yeye, Kilio changu, Niwe Gethsemane, ni Rafiki. Amani huupa usihi wangu. Ni mwema daima, Haishiwi.