Book cover

Najua Bwana Aishi

Nyimbo za Dini, 67


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Najua Bwana aishi, Mwokozi, Mwana wa Mungu, Aliyekishinda kifo, Kristo, Mkombozi wangu.

2. Mwamba wangu anaishi, Ndiye tumaini letu, Mwangaza uongozao, Hadi tufikie mbingu.

3. Nipe Roho wako, Bwana, Nipate amani yako. Nipe imani nipite Njia irudiyo kwako.