Book cover

Ushuhuda

Nyimbo za Dini, 69


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Ushuhuda wake Roho, Kwa wanaojua, Umeniinua kwako, Ewe Mungu Baba.

2. Najua upo mbinguni. Atawala Yesu. Najua yupo nabii Kwa faida yetu.

3. Moyo wangu umejaa Roho asemaye. Bwana, niwe mpya kwako Na kwangu ukae.

4. Nipatapo ushuhuda, Hupoza machungu. Mwonekano wa mbinguni, Huwa wazi kwangu.