Book cover

Imba Twaondoka

Nyimbo za Dini, 84


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Imba twaondoka Tu kimsifu, Baba wa mbinguni, Na nyimbo zetu. Kwa upendo wake, Kwa kutulinda, Wimbo wa Sabato Tutauimba.

2. Msifu kwa wema, Na kwa rehema. Kwa baraka zote Msifu Bwana. Sauti za shangwe Ziimbe sana. Yesu astahili Shairi bora.

3. Yesu, Mkombozi, Sasa sikia. Tunyenyekeapo, Tunakuomba. Bwana tuokoe, Tupe riziki. Tukutumikie Kwa usahihi.