1. Roho wako katugusa, Na kwa ushawishi wake Tunapata dira upya, Twahisi ukaribuwe. Hata kichaka cha moto Hakigusi kama Roho.
2. Je! Nyoyo hazikuwaka? Twajua Roho yu nasi. Anafanya kutumika; Anafanya njia wazi. Tushawishi kila siku, Bwana, kwenye kila kitu.