Book cover

Bwana, Kwa Baraka Zako

Nyimbo za Dini, 86


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Bwana, kwa baraka zako, Twaenda na amani; Tupe neema, upendo Ndipo tuwe washindi. Tupe nguvu, tupe nguvu Ya kupita nyikani. Tupe nguvu, tupe nguvu Ya kupita nyikani.

2. Tunakushukuru, Bwana Kwa kutupa injili. Ukombozi ukaleta Mioyo ifurahi. Kwa ukweli, kila mara Tuwe nayo imani. Kwa ukweli, kila mara Tuwe nayo imani.