1. Imeisha siku; Usiku waja, Vivuli jioni Vyatanda anga.
2. Yesu, tukichoka Ututulize; Kwa baraka zako Nasi tulale.