1. Msalabani Golgotha Aliteswa Kristo, Kifo kilikamilika Kutakasa neno.
2. Kwa unyenyekevu kafa Ili watambue, Kifo hufungua njia Ya mbingu milele.
3. Kifo cha Mwokozi wetu Kilifanya upya Ajabu ya ufufuo Sote kuupata.