1. Kwa ukumbusho wa Kristo, Baba yetu twakutana. Tunaomba Roho wako, Mlioyo yetu kuponya.
2. Bwana, kule Gethsemane Kikombe hakukiacha. Kwa ajili yetu wote Msalaba alibeba.
3. Kwa mwili na damu yake, Deni la dhambi kalipa. Tuapokea kikombe, Na mkate kwa heshima.
4. Sakramenti hii, Baba, Takasa kwa kila nafsi. Yule anayepokea, Akaishi kwa usafi.