1. Malaika waimba Utukufu kwa Bwana! Amani duniani, Kusamehewa dhambi! Shangwe kwa mataifa; Ushindi shangilia; Tuimbe kwa vifijo Amezaliwa Kristo
Malaika waimba Utukufu kwa Bwana!
2. Shangwe kwa Bwana Yesu! Mwana Mtakatifu! Kaleta na uhai, Ukaja uponyaji. Msalabani afa Watu wasife tena; Awafufue wote, Pia awaokoe.
Malaika waimba Utukufu kwa Bwana!