Book cover

Malaika Kaleta Noeli

Nyimbo za Dini, 123


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Malaika kaleta noeli Kwa wachungaji maskini makondeni, Wakilinda kondoo wao Usiku wa baridi na giza zito.

Noeli, Noeli, Noeli nzuri! Amezaliwa Mwokozi!

2. Wakaona mbinguni mwangaza Wa nyota ya mashariki iking’ara; Ulileta nuru tukufu, Ukaendelea siku hadi siku.

Noeli, Noeli, Noeli nzuri! Amezaliwa Mwokozi!