1. Twarudisha kwakoBaraka adhimu;Twajua tulivyo navyoUmetupa, Mungu.
2. Wingi wa neema,Kama wakadamu,Twapokea na kuletaMilimbuko yetu.
3. Kuwapa faraja,Kupoza taabu,Wanyonge kuhudumiaNdiyo kazi kuu.
4. Twaamini neno,Japo tu dhaifu;Kila tuwatendealo,Twatenda kwa Yesu.