Book cover

Fanya Muda Mzuri

Nyimbo za Dini, 129


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Fanya muda mzuriNa usikupite.Wakati wa mchanaKazi zifanyike.Hatuwezi amuruUtulie mwanga.Au vivuli vingiGhafla kutoweka.

2. Muda unapepea;Nyuma haurudi.Unasogea mbeleKwenye njia nzuri.Tusipolifahamu,Muda hupotea,Maisha hayarudi,Kama vile jana.

3. Baada ya baridiLinakuja joto,Na huzuni zikijaFuraha haipo.Si yatupasa basiLeo kujaribu,Kufikia malengoKuacha uvivu?

4. Fanya muda mzuri;Utumie sasa.Kuitika upesiHuleta baraka.Hekima iongoze;Uwe mwaminifu;Mungu akubarikiUwe mkarimu.