Sifa Kwao kwa Baraka
Nyimbo za Dini, 138
0:00
0:00
Introduction
All Verses
Music Only
Options
Full screen
1.
Sifa kwao kwa baraka,
Viumbe vyote vyaimba!
Sifa kwao waliopo
Baba, Mwana, naye Roho.