1. Bwana, nyumba yako Twaipenda sana; Furaha inayo Isiyopimika.
2. Ni nyumba ya sala. Hukutana watu, Nawe upo Bwana Wote kusalimu.
3. Injili twapenda Yaleta amani Ya kufurahisha, Ya kutufariji.