Book cover

Matendo Yako, Mungu wa Haki

Nyimbo za Dini, 151


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Matendo yako, Mungu wa haki, Na njia zako Ni za ukweli! Nani haogopi Jina la Mungu? Hakuna mwingine Mtakatifu.

2. Na wapotevu Waangazie. Ibada yao Ikufikie. Hukumu, ukweli, Zitaenea, Hadi watu wote Wakiri Bwana.