1. Ingieni hekaluni, Patukufu kwa Mungu. Mkawafunge milele Wale hai na wafu.
2. Jua mpango wa Mungu; Amri zake zitii. Jifunge na maagano, Mungu akubariki.
3. Muumbaji, Elohimu, Fadhili watumishi Na kila anayefanya Kaziyo hekaluni.