1. Kuna uzuri kotePenye upendo;Furaha ipo telePenye upendo.Amani na neema,Zabubujika hapa.Muda wote ni rahaPenye upendo.Upendo, nyumbani;Muda wote ni rahaPenye upendo.
2. Nyumbani kuna shangwePenye upendo;Hakuna chuki kamwePenye upendo.Waridi zinastawi;Dunia ni bustani,Maisha huwa heri,Penye upendo.Upendo, nyumbani;Maisha huwa heri,Penye upendo.
3. Mbingu hutabasamuPenye upendo;Dunia ni karimuPenye upendo.Mito hutuimbia;Angani kunang’aa.Mungu naye apendaPenye upendo.Upendo, nyumbani;Mungu naye apendaPenye upendo.