1. Mungu, msaada wetu,Tumamini ndiwe.Wewe ni hifadhi yetu,Na kwetu milele.
2. Na katika kiti chako,Twaweza kupona.Yatosha mikono yako,Kwani yatulinda.
3. Kabla kupangwa vilima,Hata ulimwengu,Enzi na enzi daima,Utabaki Mungu.
4. Mungu, msaada wetuTumaini ndiwe.Kuwa nuru yetu kuuNa kwetu milele.