1. Ninapoona jua Punde siku kuanza, Nafikiri upendo Unaotoka kwako.
2. Baba, sikio nipe; Shukurani nikupe Kwa kutulea kwako Kwetu wote wanao.