Number 181
Mimi Mwana wa Mungu
Mimi Mwana wa Mungu
1. Mimi mwana wa Mungu,Kanituma hapa,Kanipatia makaoNa wazazi wema.
Niongoze, enda nami,Njia nipate.Nifunze la kufanyaNikaishi naye.
2. Mimi mwana wa Mungu,Nahitaji sana;Nielewe neno lakeKabla siku kwisha.
Niongoze, enda nami,Njia nipate.Nifunze la kufanyaNikaishi naye.
3. Mimi mwana wa Mungu,Baraka ni tele;Nikifanya apendavyo,Nitaishi naye.
Niongoze, enda nami,Njia nipate.Nifunze la kufanyaNikaishi naye.
Maandishi: Naomi W. Randall, 1908–2001. © 1957 IRI
Muziki: Mildred T. Pettit, 1895–1977. © 1957 IRI