Book cover

Baba Anaishi

Nyimbo za Dini, 182


0:00 0:00
Introduction
All Verses

1. Baba anaishi, na ananipenda.Huu ni ukweli Roho huninong’oneza.Huninong’oneza.

2. Kukuza imani, kanileta hapa.Roho huninong’oneza kwamba ninaweza,Kwamba ninaweza.