1. Niwapendavyo Nanyi mpende. Ni amri mpya: Nanyi mpende. Watu wajue Ninyi wanafunzi, Mkipenda Kila mmoja.