Book cover

Bwana Mpendwa

Nyimbo za Dini, 187


1. Nyota zang’ara Na mbalamwezi, Jua lawaka maradufu; Yesu ang’ara, Tena zaidi, Anapenda kila mtu.

2. Mito mizuri Nayo misitu, Maua kote yamejaa; Yesu mzuri, Tena zaidi. Hufanya nafsi kuimba.

3. Bwana mpendwa Wa mataifa! Mwana wa Adamu na Mungu! Nitakusifu, Na kuabudu, Nitakusifu milele! Milele!