1. Zitii amri; Zitii amri! Katika utii kuna amani. Tutabarikiwa; Tutabarikiwa. Basi kumbuka: Zitii amri! Utii ni usalama.