1. Nitamtafuta ujanani, Bwana anifunze ukweli. Nitalisoma neno lake, Kisha Mungu Baba nimuombe. Nitamtafuta na kutii Maneno yote ya nabii. Nitafuata amri zake zote. Nitamtafuta Bwana nimpate.